Mamia ya wasafri wakwama Moro baada ya daraja kusombwa
Mamia ya wasafiri wamekwama
eneo la Dumila Mkoani Morogoro baada ya daraja kusombwa na maji ambapo
pia kunataarifa ya eneo hilo kukumbwa na mafuriko yaliyowaathiri wakazi
wa Dumila na hali inaelezwa kuwa ni mbaya.
Leave a Comment