BREAKING NEWS:AJALI MKOANI SINGIDA
Ni taarifa kuhusu vifo vya watu 13 kupoteza maisha huku watatu
wakijeruhiwa kwenye ajali ya Toyota Noah maarufu kama Noah Mchomoko
waliyokua wakisafiria kutoka Itigi kwenda Singida kugongana uso kwa uso
na lori huko Isuna
.

Leave a Comment