Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akiagana na Balozi Mdogo wa India anyefanyia kazi Zanzibar wakati
alipokuwa akiondoka katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani
Karume Zanzibar kuelekea nchini India kwa ziara Rarsmi akiwa na ujumbe
wake.
Leave a Comment