CRISTIANO RONALDO AIBEBA MABEGANI URENO, APIGA KROSI ZIKISALIA SEKUNDE TANO WAKIPATA SARE YA 2-2 NA MAREKANI


Late drama: Portugal substitute Varela executes a diving header to salvage a 2-2 draw for his country in the 95th minute
Nothing but net: Varela's header is too hot for USA goalkeeper Tim Howard who cannot react in time to stop it
Hakuna kitu kingine zaidi ya nyavu: Kichwa cha Varela kilimuacha mbali kipa wa Marekani  Tim Howard
Not over yet: Varela's goal keeps Portugal in with a chance of reaching the last 16 in Brazil
Poacher: USA striker Clint Dempsey (right) gets low to chest the ball past Portugal keeper Beto and put his country 2-1 ahead
Mshambuliaji wa Marekanir Clint Dempsey (kulia) akiifungia nchi yake bao la pili la kuongoza.
National hero: Demsey runs off to celebrate his second goal of the World Cup with his team-mates
Shujaa wa Taifa: Demsey akikimbia kushangilia bao lake

Hapa chini ni vikosi vya timu zote na viwango vya wachezaji. Alama ni chini ya 10.
Kikosi cha Marekani (4-2-3-1): Howard 7; Johnson 8, Cameron 6, Besler 7, Beasley 6.5; Beckerman 6.5, Jones 7; Bedoya 6.5 (Yedlin 72mins 6), Bradley 7.5, Zusi 6 Gonzales 90mins 6) ; Dempsey 6
Wachezaji wa akiba ambao hawakucheza: Guzan, Brooks, Johannsson, Diskerud, Davis, Green, Chandler, Rimando.
Wafungaji wa magoli: Jones 65, Dempsey 81
Kadi ya njano: Jones
Kikosi cha Ureno (4-3-3): Beto 7; Pereira 6.5, Costa 6, Alves 6, Almeida 5 (Carvalho 45mins 5); Moutinho 6, Veloso 5.5, Meireles 5.5 (Varela 68mins 6); Ronaldo 6, Postiga 5 (Eder 15mins 5), Nani 6
Wachezaji wa akiba ambao hawakucheza: Eduardo, Vieirinha, Luis Neto, Rafa, Ruben Amorim, Rui Patricio.
Wafungaji wa magoli: Nani 5, Varela 90+5
Mchezaji bora wa mechi: Johnson
Mwamuzi: Nestor Pittana (Argentina)
*Viwango vya wachezaji  Ian Ladyman
Jumping for joy: Jones leaps into the air to celebrate scoring his first goal of the World Cup
 Jones akishangilia bao lake la kwanza la kombe la dunia.

No comments

Theme images by sbayram. Powered by Blogger.