KUTOKA FACEBOOK.......KATIBU MKUU WA SIMBA SC, EZEKIEL KAMWAGA NA VIJEMBE VYA UWANJA BUNJU

KATIBU
mkuu wa klabu ya Simba sc, Ezekiel Kamwaga, `Mr. Liverpool` ameposti
picha hii katika mtandao wa kijamii wa facebook na kuisindikiza na maneo
haya:
"Kilimo Kwanza kinalipa. Will be back after a week.
Wenye majembe, mashoka, mundu walioungana nasi nawashukuru sana. The dream is
very much alive".
Hapa ni eneo la Bunju jijini Dar es salaam ambapo Simba wanaendeleza ujenzi wa uwanja wao wa kisasa.


Leave a Comment