SEMINA YA MAKATIBU WA MIKOA NA MAKATIBU WASAIDIZI WA TUICO – MOROGORO

02 (1)  
Baadhi ya makatibu wasaidizi wa TUICO wakiwa katika semina inayofanyika katika hotel ya New Savoy mjini Morogoro.
03 (1) 
 Katibu wa TUICO mkoa wa Pwani Kassim Matewele akitoa hoja katika semina ya makatibu wa mikoa na makatibu wasaidizi wa tuico mkoani morogoro.
05 
Nyuso za furaha, baadhi ya makatibu wasaidizi wa TUICO wakiwa katika semina hiyo.
09 
Makatibu wakuu wa mikoa na wasaidizi wa TUICO wakiwa katika picha ya pamoja katika semina inayofanyika katika ukumbi wa New Savoy Hotel mjini Morogoro. (Picha zote na Denis Mlowe)

No comments

Theme images by sbayram. Powered by Blogger.