Algeria yarudi nyumbani kutokea kombe la dunia, angalia picha picha 5  jinsi walivyopokelewa

algeria 2
Kwenye kombe la dunia linaloendelea nchini Brazil, Algeria kutoka Afrika wameingia kwenye headlines zenye rekodi za kudumu kutoka kwenye mashindano haya baada ya kuwa moja ya timu mbili za Africa zilizogusa kwenye hatua nzuri kabla ya kutolewa.
Tayari timu hii imerejea nyumbani Afrika ambapo kiukweli imepokelewa kwa shangwe sana, na naamini hata wengine wasio Waalgeria wangeipokea timu kama hii kutokana na ilichofanya.
Algeria
algeria 3
algeria 4
algeria 5
Algeria

No comments

Theme images by sbayram. Powered by Blogger.