MGOMBEA URAIS WA MSUMBIJI KUPITIA FRELIMO ATUA DAR
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimkaribisha Mgombea wa Urais wa
Msumbiji kwa tiketi ya Chama cha FRELIMO Mheshimiwa Filipe Jacinto Nyusi
mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege ,jijini Dar es salaam.
Katibu NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akisalimiana na Mgombea wa Urais wa
Msumbiji kwa tiketi ya Chama cha FRELIMO Mheshimiwa Filipe Jacinto Nyusi wakati wa mapokezi kwenye uwanja wa ndege ,jijini Dar es salaam.

Mgombea wa Urais wa
Msumbiji kwa tiketi ya Chama cha FRELIMO Mheshimiwa Filipe Jacinto Nyusi akisalimiana na wananchi waliojitokeza kumpokea kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.

Msumbiji kwa tiketi ya Chama cha FRELIMO Mheshimiwa Filipe Jacinto Nyusiakiongea na waandishi wa habari kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam ambapo atakuwa na ziara ya siku 4 nchini Tanzania.

Msumbiji kwa tiketi ya Chama cha FRELIMO Mheshimiwa Filipe Jacinto Nyusia akizungumza na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana nyumbani kwa Mwalimu Nyerere ,Msasani Dar es Salaam.

Msumbiji kwa tiketi ya Chama cha FRELIMO Mheshimiwa Filipe Jacinto Nyusi akisalimiana na Mama Maria Nyerere nyumbani kwake Msasani,jijini Dar es salaam.

Mama Maria Nyerere akisalimiana na Samora Machel Jr nyumbani kwa Mama Maria Nyerere,Msasani Dar es Salaam.
Mgombea wa Urais wa Msumbiji kwa tiketi ya Chama cha FRELIMO Mheshimiwa Filipe Jacinto Nyusi
akiondoka nyumbani kwa Mama Maria Nyerere, Msasani jijini Dar es Salaam
baada ya kupita kumsalimia mara baada ya kuwasili nchini.

Leave a Comment