MTUHUMIWA WA WIZI ATUNDIKWA JUU YA MTI HUKO MBEYA BAADA YA KUKAMATWA AKIIBA FUNGUO ZA GARI


 Kijana huyo ambaye hajajulikana jina kwa Mara moja akiwa ametundikwa katika mti baada ya kukamatwa anaiba funguo za magari katika Garage moja Soweto.
 Kijana huyo akiwa anapata shida  na mateso kwa kuwa alikuwa amebinya na kamba hizo mtini
 Kijana huyo akiomba msaada wa kutolewa hapo na kuomba msamaha
 Kijana huyo akiendelea kuteseka 
 Hali inakuwa Mbaya zaidi
 Kijana huyo akiwa anashushwa baada ya adhabu kali

No comments

Theme images by sbayram. Powered by Blogger.