NEWZ ALERT;WATU NANE WAKAMATWA KWA TUKIO LA VIUNGO VYA BINADAMU JIJINI DAR.

  Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar Es Salaam,Suleiman Kova akizungumza na Vyombo vya habari mbalimbali mapema leo makao makuu ya jeshi la polisi jijini Dar kuhusiana na sakata la viungo vya binadamu vilivyokamatwa jana.
Kamanda Kova amesema kuwa watu wanane wamekamatwa kuhusiana na tukio hilo.

No comments

Theme images by sbayram. Powered by Blogger.