Baada ya madaktari wa hospitali ya rufaa ya Bugando kupambana kuokoa maisha ya jamaa aliyefumaniwa na mke wa mtu huko Mwanza hatimaye wamefanikiwa kumtoa shoka kichwani na hali yake bado mbaya yuko ICU kwa uangalizi zaidi
Leave a Comment