UMEMUONA YULE MODEL WA VIDEO YA ICE CREAM ALIVYOBADILIKA BAADA YA KUPATA MATIBABU YA DAWA ZA KULEVYA

Doreen video model wa Ice cream by Noorah alijikuta kwenye hali mbaya baada ya kuathirika na dawa za kulevya lakini Ray C akiwa na foundation yake walimchukua na kumpeleka kupata matibabu.
Hivi sasa Ray C ame post picha ya Doreen na kuonyesha jinsi alivyobadirika baada ya kupata matibabu. Hapo chini ni picha kabla hajapata matibabu na ya juu ni Doreen mpya. Caption ya chini aliandika Ray C baada ya kupost muonekano mpya wa Doreen

No comments

Theme images by sbayram. Powered by Blogger.