VITZ YATEKETEA KWA MOTO MUDA HUU ENEO LA MJI MWEMA KIGAMBONI.
Gari aina ya Vitz ikiwa unateketea kwa moto muda huu
Ikiwa inaishia ...
Kwa
habari katika picha tuliyo ipata muda huu kuna Gari dogo aina ya Vitz
imeungua yote na moto. Chanzo cha moto hakijafahamika.
Endelea kufuatilia..
Na usisahau ku like page yetu ya facebook Mr. Clever Blog


Leave a Comment