BAADA YA YULE WA KWANZA KUPIGWA NA SHOKA KICHWANI, HUYU HAPA MWINGINE...

Kijana Mmoja ambaye Jina lake ahalijafahamika Mara Moja akiwa amejeruhiwa vibaya kisa kikielezwa kwamba ni kukutwa na mke wa Mtu.Matukio kama haya yamezidi kushika kasi katika jamii yetu ambapo watu wamezidi kujichukulia sheria mikononi Kwa kuwaadhibu watu na matokeo yake kuwajeruhi watu kupita kiasi.

See How This Boy Was Stabbed By His Own Brother Over Piece Of Chicken

No comments

Theme images by sbayram. Powered by Blogger.