BASI LA FIVE ALIANCE LATEKETEA KWA MOTO LIKITOKA MTWARA KWENDA DAR ES SALAAM
Hili
ni basi la kampuni ya 5 Aliance ambalo linafanya safari zake kati ya
Mtwara na Dar es salaam limeungua leo asubuhi ya August 09 likitokea
Mtwara kuelekea Dar es salaam.
Taarifa ya awali zinasema kuwa hakuna abiria aliyepata madhara yoyote juu ya kuungua kwa basi hili ambalo limeteketea kijiji cha Mihambwe mkoa wa Lindi.
Taarifa ya awali zinasema kuwa hakuna abiria aliyepata madhara yoyote juu ya kuungua kwa basi hili ambalo limeteketea kijiji cha Mihambwe mkoa wa Lindi.

Leave a Comment