JESHI LA POLISI KAHAMA LIMELAZIMIKA KUFYATUA RISASI ZA MOTO, BAADA YA WANANCHI KUCHOMA MOTO WATUHUMIWA

Maafisa wa jeshi la Polisi wilaya ya Kahama wakiwa katika eneo la tukio katika kwaajili ya kuuchukua mwili wa Marehemu.Inasemekana watuhumiwa hao walivamia chumba ya mkazi mmoja wa mtaa wa Muhungula Kahama na kujeruhi kwa mapanga watoto wawili ussiku wa kuamkia leo.







Endelea kufatilia mtandao huu na muda si mrefu tutawaletea taarifa Kamili lakini pia usisahau ku-like page Mr. Clever Blog

No comments

Theme images by sbayram. Powered by Blogger.