SASA UMEFIKA WAKATI WA WANAUME NAO KUWEKWA NDANI KUFUNDWA KAMA ILIVYO KWA MTOTO WA KIKE ANAYEOLEWA ILI KUDUMISHA MAHABA KATIKA NDOA.


Wanawake wengi wamekuwa mstari wa mbele kuhangaika kila kukicha kutafuta mbinu mpya za kuboresha mahusiano yao na wale wawapendao, iwe mchumba, mpenzi au mwanandoa mwezake ila hali haiko hivyo kwa upende wa wanaume na hii inanifanya nijiulize kanini iwe ni kwa wanawake tu.

Hali hiyo imesababisha wanaume kubweteka na kujiona kuwa wao wanastahili kutendewa mazuri tu ila kwa wanawake ni wajibu wao kujituma na si wanaume, bila kufahamu kuwa hata paka ukimfuga lazima atahitaji maziwa au kasamaki.

Ukinyima samaki lazima atakutoroka akatafute panya alipo, sasa huyu paka anahitaji vitu vyenye asili ya Nyama ukimjulia hakika atatulia wala hatoangaika hata siku moja, ingawa hapa namzungumzia binadamu.

Wanaume tumekuwa tukibweteka na kile tunachokiita kuwa wanawake wako wengi ila wanaume ni wachache bila kujua hata kama ni wengi ila wanawake wanapenda mwanaume mwenye kijituma hasa kuhangaika ili kuimarisha mahusiano ya kimapenzi na endapo atakosa vitu vichache itakuwa rahisi kubadili mwelekeo.

Mwanamke akipenda anapenda kweli na yuko tayari kwa lolote ili kuhakikisha kuwa anaimarisha mahusiano ukilinganisha na wanaume, hivyo basi ni vyema wanaume nao wakapata nafasi ya kufundishwa namna ya kuhimarisha mahusiano na kushirikiana na weza wao ili kujenga.

Mwanaume mwenye kujiamini lazima ajitume na ahangaike na mpenzi wake ili aendelee kuwa naye siku zote na si kwa muda tu, USIKUBALI mwanamke akukimbie kwa kuwa hujitambui wala hujielewi jitaihidi nawe kusoma hata vitabu ili kujua zaidi, mambo Mengi ya Mahabati.

Ni halali yako kupata elimu hii ya kimapenzi kupitia facebook kwa ku-like page yangu iitwayo Mr._Clever_Blog

No comments

Theme images by sbayram. Powered by Blogger.