VITU VINAVYO MFANYA MWANAUME ATULIE NYUMBANI NA KUSAHAU NYUMBA NDOGO
a) Baada ya kurejea kutoka kazini,
skuli, safarini, au popote pale palipowatenganisha,
anza kwa maamkizi mazuri.
b) Mpokee kwa uso mchangamfu
c) Jipambe na ujitie
manukato (Perfume)
d) Anza na habari nzuri na
chelewesha habari yoyote mbaya mpaka atapokwisha pumzika
e) Mpokee
kwa maneno ya mapenzi na hamu/shauku
f) Fanya
jitihada kubwa katika mapishi mazuri na kitayarishe kwa wakati.
a) Ni kwa ajili ya mumeo peke yake, isitumike
mbele ya wanaume wasio mahram (wanaume wanaoweza kukuoa
iwapo utakuwa huna mume)
a) Ushughulikie
vyema mwili wako na afya yako.
b) Vaa
nguo za kuvutia na jitie manukato.
c) Koga
mara kwa mara, na baada ya siku za hedhi, safisha madoa madoa yote ya
damu na ondosha harufu mbaya.
d) Jiepushe
kuonekana na mumeo ukiwa na nguo chafu au ukiwa ovyo.
e) Jiepushe
na mapambo yaliyokatazwa, mfano wa tattoo.(kuchorwa mwili kwa kitu cha moto kwa
ajili ya pambo.)
f) Tumia aina ya
manukano, rangi, na nguo ambazo mumeo anazipenda.
g) Badilisha mtindo wa
nywele, manukato n.k. mara kwa mara.
a) Harakisha kufanya jimai pale mumeo anapokuwa
na hamu ya tendo hilo.
b) Weka mwili wako safi na
wenye kunukia kadri iwezekanavyo pamoja na kujisafisha maji maji yanayotoka
wakati wa tendo.
c) Semeshaneni
maneno ya mapenzi na mumeo.
d) Mwachie
mumeo atosheleze kabisa hamu yake.
e) Chagua
wakati muwafaka na muda mzuri wa kumchangamsha mumeo, na kumtia hamu ya kufanya
jimai, mfano baada ya kurudi safari, mwisho wa wiki, n.k.
a) Usiwe
mnyonge kwa kuwa mumeo ni maskini au na aina ya kazi anayofanya.
b) Uwaangalie
masikini, wagonjwa, na vilema na kumkumbuka Mungu kwa yote yale uliyopewa.
c) Ni
lazima ukumbuke kuwa utajiri wa kweli upo katika Iman na ucha Mungu
6- Kutoshughulishwa
na mambo ya kidunia
a) Usiichukulie dunia hii kuwa ya matumaini na
kushughulishwa nayo.
b) Usimdai mumeo vitu vingi
visivyo na ulazima.
c) Kutosheka na kuishi maisha
ya kawaida hakuna maana ya kutofurahia/kutotumia kilicho kizuri na
kilichoruhusiwa (halali), bali kunamaanisha mtu kuangalia akhera yake na
kutumia kile ambacho mungu Amempa kwa ajili ya kupata Pepo
d) Muhimize mumeo kupunguza
matumizi na kubakisha fedha kwa ajili ya kutoa sadaka na kuwalisha masikini na
wasiojiweza
a) Matokeo ya kuwa na shukurani ni
kuwa mumeo atakupenda zaidi na atafanya awezalo kukufurahisha kwa njia nyingi.
b) Matokeo ya kutokuwa na
shukurani ni kuwa mumeo atavunjika moyo na ataanza kujiuliza: Kwa nini
nilazimike kumfanyia wema hali ya kuwa hana shukurani?
a) Hususan nyakati za maharibiko/matatizo
makubwa katika mwili wa mumeo au katika kazi yake, mfano ajali au
kufilisika.
b) Kumpa msaada kwa kufanya
kazi, msaada wa fedha, na vitu vyengine iwapo utahitajika.
a) Kumtii katika yote
anayokuamrisha, isipokuwa katika yale yaliyoharamishwa.
b) Katika Uislam, mume ndie
kiongozi wa familia, na mke ni msaidizi na mshauri wake.
a) Kwanza kabisa, jaribu
kujiepusha na kile ambacho una uhakika kuwa kitamkasirisha.
b) Bali iwapo imetokezea kuwa
huwezi, basi jaribu kuepusha ugomvi kwa njia zifuatazo:
1.
Iwapo wewe ndiye uliyekosea, basi mtake radhi (muombe msamaha)
2. Iwapo yeye ndiye aliyekosea basi:
- Endelea kunyamaza badala ya
kubishana au
- Samehe haki yako au
- Subiri
hadi zitakapokwisha hasira zake na mlijadili suala hilo kwa
amani
3. Iwapo amekasirishwa na mambo
nje ya nyumba basi:
- Endelea kunyamaza kimya hadi hasira
zake zitapokwisha
- Mpe udhuru (wa hasira zake), mfano
kuchoka, matatizo kazini, kuna mtu amemuudhi.
- Usimuulize masuala mengi na kushikilia
kujua nini kimetokezea, mfano (kumwambia) (1) Ni lazima unieleze nini
kimetokezea. (2) Ni lazima nijue nini kimekukasirisha namna hiyo. (3)
Unanificha kitu, na mimi nina haki ya kujua.
a) Jilinde
na mahusiano yoyote yaliyokatazwa.
b) Zidhibiti siri za familia,
hususan jimai (tendo la ndoa) na mambo ambayo mumeo hapendi watu
wengine wayajue.
c) Ishughulikie
nyumba na watoto.
d) Ishughulikie mali
yake na vitu vyake.
e) Usitoke nje ya
nyumba yako bila ya ruhusa yake
f) Usikaribishe
watu ambao mumeo hapendi kuja kwao.
g) Usimruhusu
mwanamme yeyote asie Mahram wako kuwa nawe faragha pahala popote.
h) Kuwa mwema kwa
wazazi wake na jamaa zake akiwa hayupo.
a) Ni
lazima uwakaribishe wageni wake na ujaribu kuwafurahisha, hususan wazazi wake.
b) Ni
lazima uepuke matatizo kati yako na jamaa zake kwa kadri iwezekanavyo.
c) Ni
lazima uepuke kumuweka pahala ambapo inambidi achague kati ya mama yake
na mkewe.
d) Onyesha urafiki
(makaribisho mazuri) kwa wageni wake kwa kuwatayarishia pahala pazuri pa
kuketi, chakula kizuri, kuwakaribisha vizuri wake zao, n.k.
e) Muhimize
kuwatembelea jamaa zake na uwaalike nyumbani kwako.
f) Wapigie
simu wazazi na dada zake, watumie barua, na wanunulie zawadi, wasaidie wakati
wanapoharibikiwa, n.k.
a) Wivu ni aina ya
mapenzi ya mke kwa mumewe bali ni lazima ubakie katika mipaka ya dini yako
mfano kutowatukana na kuwasengenya wengine, kuwavunjia heshima zao, n.k.
b) Usifuate au
kuanzisha tuhuma zisizo na msingi
a) Kuwa
na subira mnapokabiliwa na umasikini na hali ngumu (kimaisha na
kifamilia).
b) Wakati
mnapokabiliwa na majanga na maharibiko ambayo yanaweza kutokea kwako, kwa
mumeo, kwa watoto wako, jamaa au mali, mfano magonjwa, ajali, kifo, n.k.
c) Wakati
mnapokabiliwa na matatizo kuwa na subira na mhimize katika kubaki katika
njia ya Kumwamini Mungu na kumkumbusha kuhusu Pepo.
d) Anapokufanyia
uovu, mlipe uovu wake kwa kumfanyia wema.
a) Shirikiana
na mumeo na mkumbushe ibada mbali mbali za dini yako
b) Muhimize
kusali usiku.
c) Sikiliza
na soma vitabu vya dini yako peke yako na ukiwa pamoja na mumeo.
d) Mkumbuke
(mtaje) Mungu sana, hasa hasa baada ya Alfajiri na kabla ya Magharibi.
e) Pangeni
pamoja shughuli za Da’wah kwa wanawake na watoto.
f) Jifunze
hukumu za Kiislam na adabu za Kiislam kwa wanawake.
g) Msaidie
mumeo katika shughuli zake kwa kumhimiza, kumpa ushauri mwema, kumliwaza
machungu yake, n.k.
h) Samehe
baadhi ya haki zako na samehe sehemu ya muda wako wa kuwa pamoja na mumeo kwa
ajili ya Da’wah.
i) Mhimize
kwenda Jihad anapohitajika na mkumbushe kuwa wewe na watoto mtakuwa katika
hifadhi ya mungu
a) Iweke nyumba safi, weka
mapambo na iweke katika mpangilio mzuri.
b) Badilisha mpangilio wa
nyumba mara kwa mara ili kuzuia kupoteza hamu nayo na kuchoshwa nayo.
c) Tayarisha chakula kizuri
na chenye afya.
d) Jifunze ujuzi wowote wa muhimu
kuhusu uangalizi wa nyumba, mfano kushona, n.k.
e) Jifunze namna ya kuwalea vyema
watoto
a) Usitumie fedha zake, hata kwa
sadaka bila ya ruhusa yake labda uwe na uhakika kuwa atakubaliana na matumizi
hayo.
b) Ilinde nyumba yake, gari, n.k.
anapokuwa hayupo.
c) Waweke watoto katika hali
nzuri, nguo safi, n.k. Zingatia lishe yao, afya, elimu, tabia.,
Leave a Comment