Bloggers kukutana kesho katika hoteli ya Serena Jijini Dar Es Salaam katika pati ya kihistoria

Jaji
Kiongozi atoa somo kwa watumishi wa mahakama, vyama vya waajiri na
waajiriwa Mwenyekiti wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na mmiliki wa
Blog ya The Habari.com Joachim Mushi (katikati) akizungumza wakati wa
mkutano na waandishi. Kutoka kushoto ni mjumbe wa TBN Mkala Fundikira,
Afisa wa kampuni ya mawasiliano na matangazo ya AIMS, Shafiq Mpanja wa
AIM, Ofisa Uhusiano wa NMB Doris Kilale na mjumbe wa TBN Khadija Kalili.
Katika
mkutano huo TBN imesema kesho Jumamosi jioni Bloggers takriban 100
kutoka sehemu mbalimbali nchini watakutanika katika ukumbi wa hoteli ya
Serena jijini Dar es salam kwa ajili ya hafla ya mwaka mpya
itayohudhuriwa pia na wadhamini na marafiki wa Bloggers.
Ofisa Uhusiano wa NMB Doris Kilale akifafanua jambo wakati wa mkutano.
Mmiliki wa Blog ya Bongoweekeend Khadija Kalili akizungumza wakati wa mkutano.
Father Kidevu (kulia) akifafanua jambo wakati wa mkutano.
Baadhi ya Bloggers na
waandishi wa vyombo mbalimbali vya Habari wakifuatilia jambo wakati wa
mkutano uliofanyika katika Ofisi za Idara ya Habari Maelezo Dar es
Salaam.
Leave a Comment