BREAKING NEWZ: BONDIA FRANCIS CHEKA AACHIWA, KUTUMIKIA KIFUNGO CHA NJE
BONDIA
Francis Cheka aliyehukumiwa kifungo cha miaka mitatu kwenda jela kwa
kosa la kumpiga ngumi meneja wa baa yake, amebadilishiwa adhabu ya
kifungo.Cheka amechiwa na kutoka gerezani na sasa anatakiwa kutumikia
kifungo cha nje.
Leave a Comment