Shughuli ya uokoaji yaanza tena Ufaransa
Polisi
nchini Ufaransa wameeleza kuwa hali mbaya ya hewa itakwamisha zoezi la
utafutaji miili ya watu wapatao mia moja na hamsini katika eneo la ajali
ya ndege na hivyo kuchukuwa siku kadhaa.

Waathirika wa ajali hiyo wanatoka nchi mbali mbali ambapo arobaini na tano ni wahispania huku zaidi ya sitini wakiwa ni wajerumani.
Kumi na sita, kati yao walikuwa ni wanafunzi kutoka shule moja nchini Ujerumani ambao walikuwa wakijerea kutoka katika ziara ya kutembelea Hispania.

"Kipaumbele chetu ni kupata miili mingi kwa kadri tuwezevyo ili kuwafanya wataalam wa utambuzi wa uhalifu waweze kuifanyia utambuzi.

kuupeleka mwili katika nchi aliyotoka lakini ni mapema kusema ni wakati gani."

wapendwa wao."Nataka kusema kwamba mawazo na sala zetu tunazielekeza kwa marafiki zetu walioko Ulaya ,na hasa kwa watu wa nchi za Ujerumani na
Hispania ,kufuatia ajali mbaya ya ndege iliyotokea nchini Ufaransa.

Merkel natarajia kuongea na Raisi ama waziri mkuu wa Hispania Rajoy baadaye leo kutoa salamu za rambi rambi kutoka kwa watu wa Marekani ,lakini pia
kutoa msaada wowote utakao hitajika wakati huu wa uchunguzi wa chanzo cha ajali iliyosababisha janga kubwa.."
Chanzo BBC Swahili

Leave a Comment