Breaking Newz: Basi la Kidia One Lapata Ajali Mwanza.

Basi la Kidia One linalofanya safari zake kati ya Dar es Salaam na Mwanza likiwa limepinduka eneo la Usagara Jijini Mwanza leo lilipokuwa likimkwepa mwendesha pikipiki. Basi hilo lilikuwa likitoka Mwanza kwenda Dar es Salaam.

BASI la Kidia One linalofanya safari zake kati ya Dar es Salaam na Mwanza limepata ajali mapema leo likiwa njiani kutoka Jijini Mwanza kwenda Dar es Salaam. Basi hilo lenye namba za usajili T449 ASZ limepata ajali likiwa Mkoani Mwanza eneo la Usagara na kupinduka. Taarifa ambazo mtandao huu umezipata kutoka kwa mashuhuda zinasema ajali hiyo imetokea baada ya dereva kujitahidi kumkwepa dereva wa bodaboda kabla ya gari hiyo kuyumba na kupoteza mwelekeo na hatimaye kupinduka. Taarifa zinasema ajali hiyo imesababisha abiria wanne kujeruhiwa kwa kupata michubuko mwilini lakini hakuna madhara mengine zaidi ya gari kuharibika baadhi ya maeneo. Tunafuatilia taarifa zaidi juu ya tukio hilo na tutakapozipata tutawajuza.

No comments

Theme images by sbayram. Powered by Blogger.