Bunge laahirishwa tena, Wabunge UKAWA wapelekwa kamati ya maadili


Mbunge wa Ubungo John Mnyika.
Mbunge wa Ubungo John Mnyika.

Spika wa Bunge Anne Makinda amesitisha Bunge leo asubuhi hii kufuatia vurugu kuibuka Bungeni huku wabunge wakipaza sauti kutaka Mwongozo wa Spika.
Kufuatia vurungu hizo Spika amesema yafuatayo;
“ Kwa kutumia kanuni ya kuleta fujo ndani ya Bunge,natamka wabunge wanao husika  ambao ni John Mnyika,Tundu Lissu,Silinde,Rashid Abdalah,Lekule,Moses Machali,Mkosamali,Msigwa,selasini ,Mbaruku pamoja na Halifa” kufikishwa mbele ya kamati ya maadili.

No comments

Theme images by sbayram. Powered by Blogger.