MAMBO YANAYOFURAHISHA FARAGHA
Kwa kifupi mada hii ya faragha imewavutia wengi sana ambao wameomba niendelee kuifafanua zaidi.
Nianze kwa kusema kila kitu kinahitaji hamasa au hisia ili kiweze
kufanyika katika hali nzuri, ndivyo hivyo hata mapenzi nayo yanahitaji
hamasa ili kuweza kuamsha hisia za mwenza wako na hatimaye kukutana
faragha. Mnapokuwa faragha kuna kipindi inabidi mpongezane kwa kazi
nzuri mliyoifanya ya kuhakikisha kila mtu anafurahia faragha yenu.
Leo nitazungumza kuhusu umuhimu wa vitu mbalimbali vinavyoweza
kuifanya faragha yenu kuonekana ni nzuri na bora zaidi. Kuna vitu vingi
ambavyo vinapaswa kufanyika ili kukamilisha faragha yenu kuwa yenye
tija, baadhi yake ni kama ifuatavyo;
SAUTI YA KUBEMBELEZA
Ikumbukwe kwamba sauti ya mtu akiwa anazungumza wakati mihemko au mizuka haijampanda huwa ni sauti ya kawaida na inapotokea mihemko imepanda basi hubadilika, hiyo inayobadilika ndiyo ninayoizungumzia.

Kuna sauti f’lani za mahaba ambazo husikika watu wanapokuwa wamezama
zaidi kwenye dimbwi zito la mahaba. Mfano; baadhi ya wanawake wamejaliwa
kuwa na sauti f’lani za furaha au raha na zenye kuhamasisha wanapokuwa
faragha na wenza wao, kiukweli sauti hizo zinastahili kuwepo ili
kumhamasisha mwenza wako.
Sauti hizo za mahaba siyo tu kwa wanawake, hata kwa wanaume pia.
Kusikika kwa sauti hizo za mahaba hata kama mwenza wako atakuwa amechoka pindi anapozisikia au kuzifikiria sauti zile akilini mwake basi anapata nguvu mpya ya kuingia tena ulingoni.
Kusikika kwa sauti hizo za mahaba hata kama mwenza wako atakuwa amechoka pindi anapozisikia au kuzifikiria sauti zile akilini mwake basi anapata nguvu mpya ya kuingia tena ulingoni.
Japokuwa kila mwanadamu ameumbwa na aina yake ya hamasa anapokuwa
faragha, kwa hiyo kama hatakuwa na sauti za mahaba, basi anaweza kuwa na
kitu kingine zaidi.
Leave a Comment