MATAYARISHO YA UZINDUZI WA JUMUIYA YA MARADHI YASIYOAMBUKIZA ZANZIBAR

Mratibu wa Jumuiya ya Maradhi Yasiyoambukiza Zanzibar (Z-NCDA) Omar Abdallah Ali akitoa muhtasari wa majukumu ya Jumuiya yao kwa Wandishi wa habari hawapo pichani katika Ofisi yao Mpendae Mjini Zanzibar 02 
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maradhi Yasiyoambukiza Zanzibar (Z-NCDA) Ali Mansour Vuai akielezea matayarisho ya Uzinduzi wa Jumuiya yao utakaofanyika Machi 1 katika Viwanja vya Kibandamaiti mjini Zanzibar
03 
Baadhi ya Waandishi wa habari wakimsikiliza Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maradhi Yasiyoambukiza Zanzibar (Z-NCDA)  Ali Mansour Vuai (hayupo pichani) alipokuwa akizungumzia matayarisho ya Uzinduzi wa Jumuiya yao utakaofanyika Machi 1 katika Viwanja vya Kibandamaiti mjini Zanzibar

No comments

Theme images by sbayram. Powered by Blogger.