MKUTANO WA MPANGO MKAKATI WA KUKABILIANA NA MARADHI YASIYOAMBUKIZA ZANZIBAR WAFUNGULIWA
Meneja
wa Mradi wa Kumaliza Malaria Zanzibar Abdulla Suleiman wapili kulia
akichangia mada kuhusu kukabiliana na magonjwa yasioambukiza Zanzibar
hafla iliofanyika katika Hoteli ya Zanzibar Ocean View.
Mkurugenzi
wa Kinga na Elimu ya Afya Zanzibar Dk Mohd J,Dahoma katikati akiwa
katika picha ya Pamoja na washiriki wa Mkutano unaohusiana na Mpango
mkakati wa Miaka mitano 2014 hadi 2019 juu ya kukabiliana na magonjwa
yasioambukiza Zanzibar hafla iliofanyika katika Hoteli ya Zanzibar Ocean
View .
Washiriki
wa Mkutano wa kukabiliana na magonjwa yasioambukiza Zanzibar
wakijadiliana kuhusiana na maswali mbalimbali yaliojitokeza katika
mkutano huo,hafla iliofanyika katika Hoteli ya Zanzibar Ocean View .
Leave a Comment