Kwa masikitiko makubwa chama cha mabachela chapata pigo kubwa baada ya Manager wa 92,1 Planet Fm Anthon Mhando Washington DC kuchukua jiko siku ya jana pale White House Inn ya Morogoro.
Bwana harusi Anthon Mhando na Bi Harusi Amina Issa wakiwasili ukumbini
Somo Farha (kushoto) akiongoza msafara wa maharusi kuingia ukumbini
Warda Makongwa, Chigason na Dj Fradoh wote wafanyakazi wa Planet FM, wakiwa na nyuso za furaha ukumbini hapo
Bi. Harusi akiwapungia mkono wageni waalikwa wakati akiingia ukumbini
Kawaida ya wanaopendana huwa wanabebana na kupelekana High Table kama Mhando alivyombeba mkewe
Watangazaji maarufu wa PLANET FM Ramadhani Chigalu (Chiga son) na Warda Makongwa
Mc Natalisi Natalis akiongoza katika kucheza kwaito
Kwa mbwembwe zote Bwana harusi akiingia ukumbini huku akiyarudi
Hatimaye bibie akampokea bwana, ratiba ikaendela
Baada ya kuketi mama wa bwana harusi alipata nafasi ya kutoa nasaha zake kwa maharusi
Wanakamati wakiwa makini kuhakikisha kila kitu kinaenda vizuri husani kwenye upande wa maakuli.
Mc Natalisi Natalis akiongoza katika kucheza kwaito
Leave a Comment