Breaking Newzzz!: Ajali mbaya imetokea eneo la Pandambili…


 
Ajali mbaya imetokea eneo la Pandambili ikihusisha Basi la MOROBEST linalofanya safari za Mpwapwa – Dar
- Inadaiwa watu wengi wamepoteza maisha
Mtandao huu unafuatilia taarifa kutoka eneo la tukio.

No comments

Theme images by sbayram. Powered by Blogger.