MWENYEKITI COASTAL UNION AACHIA NGAZI



Mwenyekiti wa Coastal Union, Ahmed Aurora ameachia ngazi, imeelezwa.

Taarifa za kuachia ngazi kwa Aurora zimewekwa kwenye wall ya facebook ya Coastal Union na kusisitiza taarifa kamili hapo baadaye.

Lakini juhudi za kuwapata viongozi akiwemo Aurora mwenye zimekwama kutokana na simu zao kutopatikana au kutopokelewa .

No comments

Theme images by sbayram. Powered by Blogger.