VURUGU ZIMEIBUKA
KATIKA SEHEMU ZA MIJI MBALIMBALI YA BRAZIL BAADA YA TIMU YA TAIFA YA
TIMU HIYO KUSHINDWA KUFUZU KUCHEZA FAINALI YA KOMBE LA DUNIA NA
KUKUMBANA NA KIPIGO CHA AIBU CHA MABAO 7-1 KUTOKA KWA UJEURMANI. KIPIGO
HICHO NDIYO KIKUBWA ZAIDI KATIKA HATUA YA NUSU FAINALI KATIKA KOMBE LA
DUNIA, LAKINI NI KIKUBWA ZAIDI KWA BRAZIL KUWAHI KUKIPATA. HATA
HIVYO, ASKARI WALIKUWA MAKINI NA KUFANIKIWA KUZIMA VURUGU HIZO HARAKA
LAKINI MASHABIKI KWA MAMILIONI WALIONEKANA KUTOAMINI KILICHOTOKEA. |
Leave a Comment