LORI LAANGUKA KIMARA, WANANCHI WACHOTA MAFUTA

watu wapo busy wanachota Mafuta yan bahati mbaya ukitokea mlipuko ni majanga


Polisi wakidumisha ulinzi eneo la ajali.
LORI lililokuwa na shehena ya mafuta lita 34,000 likitoka jijini Dar es Salaam kuelekea mikoani Singida limeanguka asubuhi hii eneo la Kimara Darajani, Dar na kusababisha foleni kubwa baada ya kuziba barabara huku wananchi wakiamua kuchota mafuta kutoka kwenye lori hilo ambalo ni mali ya Nassor Filling Station. Jeshi la Polisi liliamua kuingilia kati kuwatawanya wananchi hao waliokuwa wakigombea kuchota mafuta eneo la ajali.
watu wapo busy wanachota Mafuta yan bahati mbaya ukitokea mlipuko ni majanga

No comments

Theme images by sbayram. Powered by Blogger.