MAKOSA AMBAYO WANAUME HUFANYA KATIKA KUMUANDAA MWANAMKE KABLA YA KUFANYA MAPENZI.
Wanaume wengi huwa na haraka ya tendo la ndoa bila
kuzingatia umuhimu wa kumuandaa muhusika kwanza.
Wanawake hutumia muda mrefu ili
kusisimka ndiyo maana unahitaji kutumia muda bila kuwa na haraka ili uweze
kumsisimua na zaidi kuwa na sex nzuri na yenye kuridhishana.
Ni vizuri kutumia muda wa kutosha
kumuaandaa na kama unaweza hata kumfikisha kileleni hata kabla ya kumwingilia.
(ii) Kukosa kujua sehemu muhimu za kuchezea
Zaidi ya matiti, shingo na midomo, wanaume wengi hawajui ni
sehemu zipi ambazo wanawake huwasisimua zaidi.
Kuna sehemu zingine ambazo
mwanamke
akiguswa anaweza kusisimka haraka zaidi.
Tumbo, mapaja, nyuma ya shingo, mabega, mgongo, sehemu iliyopo kati ya uke na mlango
wa haja kubwa.
Hizi sehemu ni muhimu sana kwake
kuguswa wakati wa kumuandaa.
Pia lazima uwe mtundu kuweza kusoma
lugha yake na jinsi nini anakifurahia na nini hafurahii wakati wa maandalizi.
(iii) Kuwa bubu bila kuongea maneno
matamu na kumsifia
Wakati wa tendo zima la kufanya mapenzi wanawake wanategema
mwanaume awe anaongea si kuwa bubu na kuongea huanzia kwenye maandalizi na kama
wewe ni fundi wa kuongea basi hutachukua muda mrefu kuhakikisha moto umewaka.
Kuna maneno matamu, kama vile kumsifia
juhudi zake au alivyo na umbo zuri, hiyo husaidia kumsisimua na kumpa hamu
zaidi ya kufanya tendo hilo.
(iv) Kubusu kwa kinyaa au bila Ustaarabu
Wakati unambusu usiache mimate kila mahali uwe mstaarabu pia
usioneshe kwamba una kinyaa katika kubusu baadhi ya sehemu ambazo yeye anapenda
umbusu, huyo ni mke wako hivyo ni mwili mmoja, yeye ni wewe na wewe ni yeye,
hivyo unaruhusiwa kubusu sehemu yoyote ndiyo maana usafi ni jambo la kwanza
kabisa katika mapenzi.
Leave a Comment