Mwandishi
wa magazeti ya NIPASHE Samson Fridolin Henjelewe pichani, amefariki
Dunia jana nyumbani kwake Manzese jijini Dar es salaam kwa mujibu wa
kaka wa marehem Wolfgang Henjewele amesema marehem Samsoni alikuwa
anasumbuliwa na maradhi ya kisukari, Shindikizo la damu na Figo amesema
Taratibu za mazishi zinafanywa nyumbani kwake atazikwa kesho jumatano
makaburi ya Mburahati marehem amezaliwa mwaka 1971 jijini Dar es
Esalaam mungu amlaze pahala pema peponi Amin! |
Leave a Comment