BASI LAGONGA TRENI NA KUUWA 12 HUKU 45 WAKIJERUHIWA...PICHA 10 ZA AJALI HIYO HIZI HAPA



Basi la Super Aljabir baada ya ajali.
Basi hilo likiwa limepinduka.
Baadhi ya miili katika ajali hiyo ikiwa eneo la tukio.
Watu 12 wamefariki dunia papo hapo na wengine 45 wamejeruhiwa katika ajali ya basi mali ya kampuni ya al Jabir ambalo limegongwa na Treni ya Tazara katika eneo la Kiberege, Morogoro..Majeruhi wanapatiwa matibabu katika hospatali ya St Francis huku maiti zikiwa zimehifadhiwa katika hosptali iyo iyo......

No comments

Theme images by sbayram. Powered by Blogger.