RAIS KIKWETE AELEKEA MAREKANI
.jpg)
Rais Profesa Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na Mkuu wa Mkoa
wa Dar es salaam Mhe said Meck Sadik na Meneja wa Huduma za Shirika la ndege la
Emirates katika Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Julius Nyerere Bw.
Aboubakar Juma leo Novemba 6, 2014 wakati akielekea kupanda ndege
kuelekea Marekani kwa ajili ya uchunguzi wa afya yake
.jpg)
CHANZO MICHUZI BLOG
AJALI. BASI LAGONGA
TRENI IFAKARA ZAIDI YA WATU 7 WAPOTEZA MAISHA
Basi hilo likiwa limepinduka.
ZAIDI ya watu saba wamepoteza maisha huku wengine wakijeruhiwa baada ya
Basi la Super Aljabir linalofanya safari zake kati ya Dar es Salaam na
Mahenge mkoani Morogoro kugongana na treni maeneo ya Kiberege karibu na
Ifakara, Morogoro jioni hii.
Ajali hiyo imetokea wakati basi hilo likijaribu kuwahi kuvuka reli kabla
ya treni kupita.
Basi la Super Aljabir baada ya ajali.
Baadhi ya miili katika ajali hiyo ikiwa eneo la tukio.
Kwa hisani ya GPL.
Make money by copying the best: http://bit.ly/copy_win

Leave a Comment