BAADA YA RAIS KIKWETE KUFANYA YAKE, ONA ALICHOKIFANYA WA ZIMBABWE, NI BALAA!
Mugambe ambaye siku za hivi karibuni ameamua kupumzika katika msimu huu wa sikuku na kuchagua bara la Asia kupumzika yeye na familia yake.lakini wadadisi wa mambo wanasema mafanikio ya Raisi huyo ambayo ni hafifu hayakutarajiwa na walio wengi.
Hofu ya kupokwa madaraka aliyonayo Rais Mugabe ilimsukuma kumtimua kazi makamu raisi wake bi Jopyce Mujuru aliyekuwa akipata umaarufu mkubwa kisiasa nchini mwake , na ndipo mkewe bi Grace Mugabe ambaye naye amepanda umaarufu kisiasa na hivyo kumtia Joyce kumshauri afanye hivyo.
Mujuru aliingia katika kashfa ya kutaka kumuua raisi,lakini pia anashutumiwa kukigawa chama cha ZANUPF,na linguine kuonekana kushindwa kwa Mujuru kufunga mikataba ya kibiashara
Kufuatia tuhuma hizo nafasi ya bi Mujuru ilichukuliwa na waziri Emerson Mnangwaga mshirika wa miaka mingi wa raisi Mugabe.
Leave a Comment