JINSI YA KUDUMISHA UHUSIANO WA MBALI.
Siku zote mapenzi huyapa maisha thamani lakini wapo ambao hujikuta kwa namna moja ama nyingine wanatengana na wapenzi wao kwa sababu tu ya mihangaiko ya kila siku ya kujitafutia riziki. Masomo na wakati mwingine utengano huwa ni matokeo ya wapendanao kuishi sehemu tofauti. Hii huwakumba sana
wanafunzi wa vyuo na shule za bweni (hostel).
Umbali hulifanya penzi baina ya wapendanao kuteteleka kama wapendanao hawatafanya kazi za ziada kuhakikisha wanaziba mianya yote itakayosababisha usaliti kama sio kuachana kabisa.
Hata hivyo, mapenzi ya mbali huna ni vigumu kuteteleka endapo tu wapendanao wanamapenzi ya dhati na kutamani kuwa pamoja kila wakati na mmoja wapo kuamua kujitoa muhanga kwa kuamia anakoishi ama anakofanyia kazi laazizi na mwandani wake.
Pamoja na hayo yote bado umbali hauwezi kuwa ni tatizo kubwa sana la kutetelesha uhusiano wako na mpenzi wako. Mnaweza kudumisha mapenzi yenu ya mbali endapo
utafanya haya:-
MAWASILIANO MARA KWA MARA.
Mawasiliano ni nguzo muhimu sana baina ya wapendanao, humfanya kila mtu kuhisi uwepo wa mwenzi wake hata kama atakuwa mbali naye.
Hivyo, kama una mpenzi wako aliye mbali nawe hakikisha unakuwa naye karibu kwa kumtumia ama sms, email, kadi au simu.
Aidha, pindi mnapowasiliana hakikisha humkwazi mwenzako kwa namna yoyote ile, kwani kuna watu wengi wanatabia ya kudharau baadhi ya mambo kutokana na kutingwa na shughuli kadha wa kadha, naomba nikuweke wazi kuwa hata kama umebanwa vipi pindi mpenzi wako aliye mbali anapokutumia ujumbe kwenye simu yako basi usisite kumjibu katika muda muafaka na siyo kuuchuna hadi ulalamikiwe!
HESHIMU HISIA ZAKO:
Mapenzi ya kweli yametawaliwa na hisia kali ambazo ndizo huwafanya wapendanao kufikishana kwenye mambo fulani kwani pasipo hisia hata uwe na ujuzi au utundu wakutosha hutapata raha ya mapenzi.
Kama kweli unampenda kwa dhati mwenza wako na mmetengana kutokana na sababu za kimasomo ama kazi kwa hakika utakuwa tayari kumtunzia penzi lake hadi mtakapokutana tena.
Uaminifu pekee ndio utakaokufanya uwasiliane mara kwa mara na mwenza wako na kwenye uaminifu mapenzi hushamiri huku kila mmoja akimuonea wivu wa hapa na pale mwenzi wake (lakini sio ule wakubomoa!) Hivyo heshimu hisia zako kama kweli unampenda mwenzi wako kwa kumuonesha unampenda.
UMBALI ISIWE KIGEZO KUNYIMANA.
Mpe mwandani wako raha kamili kama ilivyokuwa awali mlipokuwa pamoja! Bila shaka unajiuliza inawezekanaje? Hili linawezekana kwa kutumia njia yoyote ya mawasiliano. Mfano kama nyote mna simu jiandae vya kutosha nikiwa na maana uhakikishe upo sehemu ambayo utakuwa huru kuongea ama kufanya chochote
Kitakachokufanya uhisi raha isiyo na kifani na kukufikisha kwenye kilele cha mlima kilimanjaro bila kutarajia.
Bila shaka kila mtu anamfahamu vema mpenzi wake na hasa nini hupenda kufanyiwa ili awezekufika safari yake na kama ndivyo basi hakikisha unafanya mambo yote ambayo ukimfanyia mwenzi wako pindi mnapokuwa kwenye mambo fulani hupagawa.
Nilshawahi kueleza namna ya kujigijigi kupitia kwenye simu.
MATATIZO 10 YA UCHUMBA
KUVUNJIKA
NDOA SAHIHI NI YA MKE MMOJA NA MME MMOJA {MWANZO 2:24}
Matatizo 10 ya ''chumba'' nyingi kuvunjika vunjika;
1. kukosa uaminifu katika mahusiano ya uchumba.
mojawapo ya matatizo yanayosababisha chumba nyingi kuvunjika ni suala la
kukosa uaminifu na hii hufungulia mlango wa shetani kuwashambulia na
hatimaye uchumba kuvunjika na wakati mwingine utawakuta wachumba wakiwa
na mahusiano ya kimapenzi na watu wengine na hii husababisha uchumba
kuvunjika 2.Roho ya tamaa ya maisha makubwa nje ya uwezo wao. hali
ya kutamani maisha makubwa ambayo nje na uwezo husababisha uchumba
kuvunjika na wakati mwingine akijitokeza mtu mwingine ambaye anaonyesha
dalili fulani za kuwa na mali au pesa zaidi ya yule mchumba huchangia
kuvunjika kwa uchumba hivyo ni vizuri kulidhika na mchumba wako na
muanze pamoja na MUNGU atawabarikia mkiwa pamoja.
3.Kujihusisha na tendo la ndoa kabla ya ndoa.
Hili nadhani ni tatizo kubwa labda huenda kuliko haya mengine na hili ni
sumu kubwa sana inayovunja chumba za watu wengi, kwanza huondoa imani
kwa wale wachumba wenyewe, mtu anawaza huyu kakubali kufanya mapenzi na
mimi ipo siku atanichoka na kufanya na mwingine pia kufanya tendo la
ndoa kabla ya ndoa huweza kugundua baadhi ya madhaifu na mapungufu
aliyonayo mmoja wa wachumba hao na kuamua ikiwa hiki ndicho nakitarajia
wakati ndoa mbona nitakuwa nimejitwika tanzi? na hivyo huvunja uchumba
na wakati mwingine kuwatangazia watu madhaifu ya mcumba wake.
NI DHAMBI KWA WACHUMBA KUFANYA TENDO LA NDOA KABLA YA NDOA
4.Kuanza kusemasema na kutangaza mapema kabla ya wakati muafaka.
kutangaza juu ya uchumba wenu kabla ya hatua za awali kumesababisha
baadhi ya chumba kuvunjika unakuta hatua za awali kabisa kanisa zima
wanajua,kila mtaa wanajua yaani kila mtu anajua hii husababisha mmoja ya
wachumba kuona kuwa huyu mwenzangu hana siri na hawezi kutunza mambo
huenda hata tutakapooana hataweza kutunza siri hivyo anaweza kuvunja
uchumba na wakati mwingine kusemasema kabla ya muda huwasababisha wale
walio maadui zenu kuwazunguka kwa mbele na kupindua na ghafla unashangaa
unakuta yule aliyekua rafiki yako wa karibu uliye kuwa unamshirikisha
jambo hilo kakuzunguka na kukugeuzia kibao. Baada ya siku mbili tatu
unaskia yuleyule mchumba wako anamvisha pete mchumba wako. 5.K
uwasikiliza watu wengine zaidi ya kumsikiliza MUNGU. Hii inaweza
kusababisha uchumba kuvunjika. ni vizuri kujifunza kumsikiliza MUNGU
juu ya yule aliye kuongoza kwamba atafaa kuwa mwenzi wako wa ndoa badala
ya kuwasikiliza watu wanasema nini juu ya wewe na mchumba wako. watu
wanaweza kumtoa kasoro mfano mchumba mwenyewe hajasoma,ni mbaya,hana
figa nzuri,mchafu,hamuendani, maskini na kasoro nyingi tu na hiyo
husababisha uchumba kuvunjika
6.Kuchumbiana bila kumhusisha MUNGU. Mlionana na kuvutiana
pasipo kumhusisha MUNGU na kutangaza kwa watu na kuanza mipango ya
kuoana ndipo mnakuja kugundua kumbe ilikuwa ni misisimko yenu tu wala
MUNGU hakuhusika kabisa katika mchakato mzima wa uchumba wenu na
matokeo yake uchumba wenu unavunjika na kuacha ukijiuliza maswali mengi.
7.kutumia muda mwingi katika uchumba kabla ya ndoa. Kuna baadhi ya
wachumba wanatumia muda mwingi sana kukaa katika mahusiano ya uchumba
kwa malengo ya kusomana tabia au kuchunguzana au kusubiriana katika
masomo nk. Hali hii hupelekea kuchokana katika mahusiano na
kuwasababishia kuona kama huenda labda nilichagua mtu asiye sahihi.
Baada ya kusoma na madhaifu mengi kwa muda mrefu mwisho uchumba huweza
kuvunjika.
8.Roho ya haraka na kukosa
uvumilivu. wengine wakichumbiana hupeleka mambo haraka haraka utadhani
ni dharula, wengi huwa na hali ya kutokujiamini huenda kutokana na
yaliyowapata siku za nyuma. labda walichumbiana na baada ya muda mfupi
uchumba ukavunjika na kuacha majeraha makubwa hivyo hudhani hali hiyo
itajirudia, katika kufanya mambo haraka huweza kusababisha hata huu
uchumba kuvunjika. 9.Upinzani wa shetani ili ukose
kilicho bora zaidi. Kuvunjika kwa uchumba wakati mwingine kunaweza
kusababishwa na ibilisi shetani ambaye ni mdau wa kwanza wa upinzani juu
ya mafanikio ya wana wa MUNGU. Ndiyo maana tunahitaji sana kufunga na
kuomba ili kuvunja na kuharibu kazi za shetani na mipango aanayotuwazia
sisi katika maisha yetu.
SHETANI ALIWADANGANYA ADAMU NA EVA KWA SABABU HAPENDI MAFANIKIO KWA
WANA WA MUNGU
10.Uchumba kuvunjika kwa sababu ya mapenzi ya MUNGU.Sio kila kitu
kinaweza kusababishwa na shetani, wakati mwingine MUNGU mwenyewe
huingilia kati na kusababisha uchumba fulani kuvunjika kutokana na
sababu za kimungu ambazo wakati mwingine kwetu sisi sio rahisi kuweza
kuzijua kwa haraka mpaka wakati kamili wa MUNGU utimie au kusudi lake
kujidhihirisha wazi. Ni vizuri kwetu sisi kama watu wa MUNGU kutafuta
mapenzi ya MUNGU na kujua kwamba kuna wakati MUNGU mwanyewe anaweza
kusababisha uchumba kuvunjika kwa ajili ya usalama wetu.
MUNGU BABA AKUBARIKI SANA
You might also like:
JINSI YA KUSIKIA SAUTI YA MUNGU
KAHABA ALIYEOKOKA
MAMBO 4 AMBAYO MUNGU ANATAKA UYAJUE KATIKA MWAKA 2013
HATUA 3 ZA MAISHA YA KIROHO YENYE NGUVU
NILITAKA KUJIUA
Linkwithin
Posted by Peter Michael at Thursday, November 08, 2012
Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to Facebook
Labels: Peter Michael
0 comments:
Post a Comment
Links to this post
Create a Link
Newer Post Older Post Home
Karibu katika mtandao bora wa kijamii.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Waliosoma blog hii
486470
Maisha ya ushindi on Facebook
Director: Peter M Mabula
Director: Peter M Mabula
Blog hii haifungamani na kanisa lolote bali ipo kwa ajili ya kumtukuza
MUNGU. Kuna masomo mengi ya aina zote katika blog hii pia kuna shuhuda
za ajabu ambazo BWANA YESU amezitenda katikati ya wanadamu. Hata wewe
unakaribisha kushuhudia matendo makuu ya MUNGU aliyokutendea pia karibu
kwa ajili ya ushauri wa kiroho na hata maombezi pia. MUNGU akubariki
sana Anuani zetu ni mabula1986@gmail.com pamoja na namba ya simu hii
0714252294. Ubarikiwe sana
Popular Posts
NILIMPENDA MSICHANA KUMBE NI JINI NA AMENITESA SANA
Naitwa Patrick Bundala niko mailimoja Kibaha ni mwajiriwa wa
serikali ni Askari ila nyumbani ni Tabora na huku niko kikazi tu, nina
mke n...
NILINYOLEWA NYWELE ZOTE SEHEMU ZA SIRI NA WACHAWI USIKU NIKIWA
NIMELALA
Naitwa Prisca mwenyeji wa mkoa wa Arusha napenda nishuhudie kitu
ambacho kimetokea maishani mwangu hadi kupelekea kuokoka. mwaka 2010
kwa...
HISTORIA YA MAISHA YA BAHATI BUKUKU (Sehemu ya 2)
Bahati Bukuku. Nilipenda kwenda shule kusoma, na hii ilikuwa njia
mojawapo ya kuepuka kufanya kazi za nyumbani, hasa kuosha vy...
KWA NINI WANAWAKE WENGI/ WATU WENGI WANAVAMIWA NA Mapepo?
Na Mtume na Nabii Josephat Mwingira, Efatha Ministry. Joshua 7: 10
“BWANA akamwambia Yoshua, Haya! Inuka, mbona umeanguka kifudifud...
MAJINA 172 YA MUNGU NA TAFSIRI ZAKE
Na Mchungaji Peter Mitimingi Majina haya ya MUNGU pamoja na majina
ya watu na maana zake yanapatikana katika kitabu kiitwacho NGUVU ...
NYOTA YA MTU NA MAISHA ALIYONAYO
MCHUNGAJI JOSEPHAT GWAJIMA Na Mchungaji Josephat Gwajima Utangulizi:
Biblia imeeleza kuhusu nyota ya Yesu ilivyoonekana kutoka...
Kiongozi wa kanisa la Pool of Siloam la jijini Dar es Salaam Nabii
Munuo a.k.a Adam wa Pili afariki dunia.
Habari ambazo blog hii imezipata ni kwamba Kiongozi wa kanisa la
Pool of Siloam la jijini Dar es Salaam almaarufu kama . Nabii Munu...
KIFO CHA NABII ELIYA MUNUO: TAARIFA MAALUM KUTOKA SILOAM JUU YA KIFO
CHA NABII ELIYA.
Kwa heri nabii Eliya Munuo. Aliyekuwa Askofu mkuu wa kanisa la
Siloam Nabii Eliya ambaye amefariki dunia mwanzoni mwa wiki hii ...
HISTORIA YA MAISHA YA BAHATI BUKUKU ALIPOANZA SHULE YA MSINGI
RUNGWE.
BAHATI BUKUKU MWAKA 1988, RUNGWE, MBEYA “Lusako amka...Lusako
amka, niliisikia sauti ya baba yangu, mzee John Bukuku akin...
BIBILIA KITABU CHA AJABU KULIKO VITABU VYOTE.
BIBLIA TAKATIFU NENO LA KWELI LA MUNGU
Lengo la blog hii

Search This Blog
Copy and WIN : http://bit.ly/copy_win

Leave a Comment