Bunge lasitishwa kwa muda



PG4A8131

Spika wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania Anna Makinda ameamua kusitisha Bunge kwa muda kutokana na kelele za wabunge huku wengine wakiwa wamesimama wakitaka kuondoka Bungeni huku chanzo hasa kikiwa ni jinsi utaratibu mbovu wa kuwasilisha miswada. Wabunge wamegoma kutokana na kutaka kujadili miswada mitatu kwa siku moja.
Aidha, tukio hilo limetokea  baada ya wabunge wa upinzani kusimama na kukataa kutoka nje ili kuzuia miswada mitatu muhimu ya Gesi, Petroli na Uziduaji kusomwa kwa Hati ya Dharura.
1.Muswada juu ya Petroli, 2015 (The Petroleum Act, 2015)
2.Muswada juu ya Usimamizi wa Mafuta na Gesi, 2015 (The Oil and Gas Revenues Management Act, 2015)
3.Muswada juu ya tasnia ya Uziduaji Tanzania (The Tanzania Extractive Industries Act, 2015): The Tanzania Extractive Industries Act, 2015.

No comments

Theme images by sbayram. Powered by Blogger.