Gari yagonga Treni mkoani Morogoro leo
Taarifa
ya ajali gari kugonga treni, leo tarehe 01/07/2015 majira ya 0730 gari
no T. 837 CTM aina ya ISUZU Jouney mali ya FEISAL s/o HUWEL ikitokea
Tindiga kwenda Morogoro ikiendeshwa na Bakari s/o Seleman 35yrs mkazi wa
kilosa iligonga treni no 88u03 treni iliyokuwa ikitoka Morogoro kwenda
Dodoma ikiendeshwa na Inea s/o Chipindula 48yrs mkaburu mkazi wa
Morogoro ajali imesababisha vifo vya watu 4, (01)Salehe s/o Gombaike
35yrs mkutu, (02)Mama Husna 33yrs mzaramo mkazi mamoyo, (03)Sulat
Mwajiri 06yrs, (04)Mwajiri 38yrs mkazi wa pugu dar es salaam, majeruhi
25 wote wamelazwa hospitali ya wilaya Kilosa. KAIMU RPC MOROGORO
Leave a Comment