NEC Yaahirisha Tena Uandikishaji Kwa BVR Dar Es Salaam

Mashine za BVR zitakazotumika katika uandikishaji wa wapiga.
Mashine za BVR zitakazotumika katika uandikishaji wa wapiga.
Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC imesogeza mbele uandikishaji kwa BVR jijini Dar es salaam zoezi  lilikuwa lianze  tarehe 16/07/2015.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mwenyekiti wa  Tume Jaji Damiani Lubuva imebainisha kuwa  zoezi hilo limepelekwa mbele ili kutoa fulsa kwa wananchi kusherekea sikukuu ya Eid-El-Fitr ambayo ingefanyika wakati wa zoezi la uboreshaji wa daftari hilo.
Zoezi hilo sasa litaanza tarehe 22/07/2015 na kumalizika tarehe 3/07/2015.
Taarifa ya Nec kuhusu kuahirishwa zoezi la uandikishaji kwa BVR.
Taarifa ya Nec kuhusu kuahirishwa zoezi la uandikishaji kwa BVR.

No comments

Theme images by sbayram. Powered by Blogger.