Kinachoendelea uwanja wa Taifa wa zamani Jeshi likimuaga Rais Kikwete
Mjaeshi ya Ulinzi na usalama ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
yanetumia siku ya leo kama siku muhimu ya kumuaga Amir Jeshi Mkuu Dkt
Jakaya Mrisho Kikwete sherehe zenye lengo la kumshukuru kwa kipindi
chake cha miaka 10 kuacha Jeshi imara lenye vifaa vya kisasa pamoja na
Askari wenye weledi.
Hivisasa inakuletea picha kadhaa ya kinachoendelea sasahivi katika uwanja wa Taifa wa Zamani ambapo ndiyo sherehe hizo zinafanyika ambapo mpaka tunakwenda mitamboni tayari Mh Rais ameshashuhudia Zoezi la Askari wa Magereza,FFU na Kikosi cha Komando.

Askari
wa Jeshi la Wanachi wa Tanzania Brigadi ya Komando wakionyesha zoezi la
ukakamavu mbele ya Amiri jeshi Mkuu ambaye ni Rias wa Jahmhuri ya
Muungano wa Tanzania ,Rais Jakaya Mrisho Kikwete

Askari wa Bridage ya Komando wakiwajibika katika zoezi lao waliokuwa wakimuonyesha Rais Jakaya Kikwete

Leave a Comment